728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, November 10, 2015

    ROONEY MMH NOMA AMZABA KIBAO BINGWA WA MIELEKA KAMA MWANAE VILE

    Manchester,England.



    Wayne Rooney ni ameonyesha kuwa yeye ni mbabe kweli kweli baada ya jana jumatatu usiku kumzaba kibao bingwa wa mieleka Wade Barret mbele ya mashabiki lukuki katika ukumbi wa Manchester Arena.
    Rooney alimzaba kibao bingwa huyo na kuamsha shangwe toka kwa mashabiki baada ya kukerwa na maneno ya dharau aliyokuwa akiporomoshewa hasa baada ya kudaiwa kuwa msimu uliopita alijiangusha ili apewe penati katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Preston North End ambayo Barret ni shabiki wake namba moja.

    Rooney alifika katika ukumbi huo aliwa na nyota wenzie Ryan Giggs,Darren Fletcher na mwanae Kai ndipo Barret alipokamata kipaza sauti na kusema huo ukumbini kulikuwa na wanaume wawili mabingwa kuliko Rooney na Manchester United na kuamsha hasira za mshambuliaji huko wa England.

    PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO
    Shouting match: Rooney points his finger at Barrett and fellow WWE star Sheamus, right, who was part of the skit

    Slap attack: Rooney responds to being goaded by slapping Barrett, as son Kai watches on (centre) and fans cheer
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ROONEY MMH NOMA AMZABA KIBAO BINGWA WA MIELEKA KAMA MWANAE VILE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top