728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, April 05, 2017

    Serengeti Boys ndani ya Suti , Wapaa kuelekea Morocco


    Faridi Miraji , Dar es salaam.                          



    Timu ya Vijana chini ya miaka kumi na saba Serengeti Boys muda huu ndio wanaondoka kwenda nchini Morroco kuweka kambi ya wiki tatu. Kwa Ajili ya kujiandaa na Mashindano ya AFCON chini ya miaka kumi na saba Gabon.  


    Msafara wa watu 31 wakionekana nadhifu Kwa Suti kali wameondoka saa 10:15 jioni hii. Serengeti Boys Imeondoka na Ndege ya Emirates kwenda Morocco kupitia Dubai, Falme za Kiarabu (UAE).


    Serengeti Boys mwendo ni Gabon mpaka kombe la Dunia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Serengeti Boys ndani ya Suti , Wapaa kuelekea Morocco Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top