Moscow,Urusi.
Mpango wa Arsenal kumsajili mshambuliaji Alexander Kokorin umemkwama baada ya Dynamo Moscow kuikataa ofa iliyoletwa na kocha Arsene Wenger.
Taarifa zinasema Dynamo imekataa kumuuachia Kokorin,25 baada ya Arsenal kutaka kumsajili kwa mkopo wa msimu mmoja na kisha kumsajili baadae ikiwa ataonekana anafaa.Dyanamo imeuona mpango huo ni kama kuikosea heshima klabu hiyo pamoja na mchezaji husika.
Arsenal ilimgeukia Kokorin baada ya mpango wa kumsajili Karim Benzema toka Real Madrid kukwama
0 comments:
Post a Comment