728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, September 01, 2015

    YANGA KAMILI LIGI KUU BARA YATANGAZA SILAHA 24 ZA KULETA RAHA JANGWANI

    Dar es salaam,Tanzania.

    Dirisha la usajili Tanzania limefungwa tayari.Vilabu vimefanya usajili kulingana na mahitaji na uwezo wa kifedha.Kifuatacho ni kikosi cha Yanga Sc kitakachoiwakilisha klabu hiyo katika michuano ya ndani na kimataifa.

    MAGOLIKIPA.
    1. Ally Mustafa Mtinge Barthez
    2. Benedict Tinocco
    3. Mudathir Khamis
    4. Deogratias Munishi Dida

    MABEKI
    5. Juma Abdul
    6. Oscar Fanuel Joshua
    7. Mwinyi Haji Mngwali
    8. Pato Ngonyani
    9. Kelvin Yondani
    10. Nadir Haroub Canavaro
    11. Mbuyu Twite
    12. Vincent Bossou

    VIUNGO
    13. Salum Telela
    14. Andrey Coutinho
    15. Haruna Hakizimana Niyonzima
    16. Thabani Kamusoko
    17. Said Juma Makapu
    18. Godfrey Mwashiuya
    19. Deus Kaseke
    20. Saimon Happygod Msuva

    WASHAMBULIAJI
    21. Mateo Anthony Saimon
    22. Donald Ngoma
    23. Malimi Busungu
    24. Amis Tambwe

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: YANGA KAMILI LIGI KUU BARA YATANGAZA SILAHA 24 ZA KULETA RAHA JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top