728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, April 08, 2017

    Chiellini ala jiwe la pili


    Turin,IItalia.

    Beki wa kimataifa wa Italia anayeichezea Juventus Giorgio Chielline ameweza kupata Master ya Usimamizi wa Biashara (Busness Administration) kutoka chuo kikuu cha Turin Italia. Ambacho Pia alipata degree yake ya kwanza.


    Wafuatao ni baadhi ya wachezaji Wasomi 

    1-Juan Mata (Degree in Sport science and marketing) 
    2-EdwinVan der Sar (Master of Sport managemet) 
    3-Shaka Hislop (degree of Mechanical Engineering) 
    4-David Wetherall (Degree in Bsc in Chemistry) 
    5-Iain Dowie (degree of Aeronautical) 
    6-Barry Horne (First Class degree in Chemistry)-duuh et first Class 
    7-Steve Coppell (Master in Economics) 
    8-Slaven Bilić (Master in Law) 
    9-Glen Johnson (Degree in Mathematics) 
    10-Socrates (Doctor & Phd philosophy) 
    11-Steve Palmer (Degree in software Engineering) 
    Bila kumsahau 
    12-Arsene Wenger (Master in Economics) 

    Imekuwa ni ngumu kumkuta mwanasoka akiwa na Elimu kubwa na huku akicheza Mpira Mfano ni kwenye ligi yetu ya Tanzania mchezaji Mwenye Master ni mmoja tu Eric Ngwengwe Mlinda mlango wa Mbao Fc ila wenye degree Wapo wengi wengi Ayoub Semtawa wa mbeya City Ana degree (Doctor of Medicine), beki wa Simba Novart Lufunga amesomea mambo ya Biashara (Busness Administration) na wengine


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Chiellini ala jiwe la pili Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top