728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, April 09, 2017

    Akina Samatta wazidi kuisogelea tiketi ya kucheza Europa Ligi msimu ujao


    Genk,Ubelgiji.

    TIMU ya KRC Genk ya Mtanzania,Mbwana Samatta imeendelea kujisafishia njia ya kucheza michuano ya Europa Ligi msimu ujao baada ya usiku huu ikiwa ugenini huko Schiervelde kuwafunga wenyeji wao Roeselare kwa bao 1-0 katika mchezo mkali wa kundi A hatua ya mtoano.


    Bao pekee la mchezo huo uliochezeshwa na mwamuzi,Nathan Verboomen limetiwa kimiani katika dakika ya 84 na José Manuel García Naranjo. 


    Ushindi huo umeifanya KRC Genk iendelee kujitanua kileleni mwa kundi hilo baada ya kufikisha pointi sita.Hii ni baada ya kucheza michezo miwili.




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Akina Samatta wazidi kuisogelea tiketi ya kucheza Europa Ligi msimu ujao Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top