728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, June 19, 2016

    HII HAPA XI YA YANGA SC ITAKAYOVAANA NA MO BEJAIA LEO USIKU

    Bejaia,Algeria.

    WAWAKILISHI pekee wa michuano ya kimataifa toka ukanda wa Afrika Mashariki,Yanga SC usiku wa leo (6:15) watashuka katika dimba la Unite Maghrebine huko Bejaia kuvaana na wenyeji wao Mo Bejaia katika mchezo wa kwanza wa Kundi A wa michuano ya Kombe la shirikisho Afrika.

    Tayari benchi la ufundi la klabu hiyo likiongozwa na Kocha wake mkuu Hans Van Pluijm limeshatangaza kikosi cha wachezaji XI kitakachoanza mchezo wa leo.

    Katika kikosi hicho hakuna jina la mchezaji yoyote mpya,kikosi kamili kiko kama ifuatavyo......!!

    1: Deogratius Munishi 'Dida'
    2: Mbuyu Junior Twite
    3: Oscar Fanuel Joshua.
    4: Kelvin Patrick Yondani 'Cotton'
    5: Vicent Bossou
    6: Thabani Michael Kamusoko
    7: Simon Happygod Msuva
    8: Harouna Fadhil Niyonzima
    9: Donald Dombo Ngoma
    10: Amiss Jocelyn Tambwe
    11: Deus David Kaseke

    BENCHI:
    - Ally Mustafa Mtinge 'Bathez'
    - Mwinyi Haji Ngwali
    - Pato George Ngonyani
    - Antony Saimon Matheo
    - Juma Said Makapu.
    - Godfrey Furaha Mwashiuya

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HII HAPA XI YA YANGA SC ITAKAYOVAANA NA MO BEJAIA LEO USIKU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top