Ever Banega
London, England.
WAKATI ligi kuu mbalimbali zikianza kutimua vumbi kesho Jumamosi na Wikendi ijao hekaheka za Usajili nazo zimeendelea kushika kasi kwa vilabu kuendelea kuimarisha vikosi vyao.
Zifuatazo ni sajili nne zilizofanyika leo Ijumaa katika nchini za England, Hispania,Italia na Ujerumani.
Ever Banega amejiunga na Inter Milan akitokea Sevilla kwa uhamisho huru.
Cristian Tello amejiunga na Fiorentina akitokea Barcelona kwa mkopo wa msimu mmoja.
Fabio da Silva amejiunga na Middlesbrough akitokea Cardiff kwa uhamisho wa miaka miwili kwa ada ya €2.5m.
Moritz Leitner amejiunga na Lazio akitokea Borussia Dortmund kwa ada ya €2m.
0 comments:
Post a Comment