728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, May 22, 2016

    JUMA ABDUL MCHEZAJI BORA MWEZI APRILI

    Dar es Salaam,Tanzania.

    MLINZI wa kulia wa Yanga SC Juma Abdul ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa mwezi wa Aprili.

    Abdul ameibuka kidedea baada ya kuwashinda wapinzani wake wa karibu Donald Ngoma anayecheza
    naye Yanga SC na Hassan Dilunga wa JKT Ruvu.

    Kutokana na ushindi huo Juma Abdul atajizolea kitita cha shilingi milioni moja (1,000,000) toka kwa wadhamini wa wakuu wa ligi hiyo, Kampuni ya simu za mikoni ya Vodacom.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JUMA ABDUL MCHEZAJI BORA MWEZI APRILI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top