728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, May 18, 2017

    Dani Alves,Bonucci waipa Juventus ubingwa wa tatu wa Coppa Italia

    Roma,Italia.
    MABAO ya dakika za 12 na 24 ya walinzi Dani Alves na Leonardo Bonucci yameipa Juventus ubingwa wa tatu mfululizo wa kombe la Coppa Italia baada ya Jumatano usiku kuifunga Lazio mabao 2-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa huko Studio Olimpico,Roma.Leonardo Bonucci, scorer of Juventus' second goal, drinks from the Coppa Italia trophy
    Juventus imekuwa timu ya kwanza kutwaa ubingwa wa Coppa Italia mara tatu mfululizo.Jumla imetwaa ubingwa huo mara 12.Dani Alves, who opened the scoring at the Stadio Olimpico, holds his Coppa Italia medal 
    Rais wa Italia,Sergio Matarella alikuwa sehemu ya watu waliohudhuria mchezo huo wa fainali.BOFYA HAPA KWA HABARI ZAIDI
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Dani Alves,Bonucci waipa Juventus ubingwa wa tatu wa Coppa Italia Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top