728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, May 17, 2017

    Arsenal bado yakomaa na top four,yaibutua Sunderland mchezo wa kiporo


    London,England.

    ALEXIS Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili katika dakika za 72 na 81 katika ushindi wa mabao 2-0 nyumbani Emirates dhidi ya Sunderland Jumanne usiku.

    Ushindi huo umeifanya Arsenal ifikishe pointi 72 na kusalia katika nafasi ya 5.Ponti moja nyuma ya Liverpool yenye pointi 73 katika nafasi ya 4.

    Ili Arsenal iweze kufuzu ligi ya mabingwa Ulaya msimu ujao itapaswa kushinda mchezo wake wa mwisho dhidi ya Everton nyumbani Emirates huku ikiombea Liverpool ifungwe nyumbani na vibonde Middlesbroug.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Arsenal bado yakomaa na top four,yaibutua Sunderland mchezo wa kiporo Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top