728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 06, 2017

    Tanzania yapanda viwango vya Fifa mwezi March

                       

    Faridi Miraji , Dar es salaam.                          

    Tanzania yapanda katika viwango vya FIFA duniani kwa nafasi 22 . Sasa yashika nafasi ya 135 tofauti na mwezi uliopita ilipokuwa nafasi ya 157.

    Kupanda huku imetokana na kushinda mechi zake mbili za kirafiki dhidi ya Botswana na Burundi katika ratiba ya FIFA.

    Wakati huohuo wafalme wa soka duniani kwa miaka mingi Brazil wamerudi kileleni mwa msimamo wa viwango vya FIFA duniani kwa kushika namba moja . Hii ni baada ya kupanda nafasi moja juu zaidi na kuwashusha Argentina nafasi ya pili. 

      Viwango vingine vya nchi za Afrika mashariki ni hivi hapa ;

    1. Uganda 72 , 2. Kenya 78 , 3. Rwanda 117 4. Burundi 141
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Tanzania yapanda viwango vya Fifa mwezi March Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top