728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, April 08, 2017

    Moto wa Spurs waichoma Watford,sasa yabakiza pointi nne tu kuing'oa Chelsea kileleni,yaiacha Arsenal kwa pointi 14


    London,England.

    Tottenham imeendelea kuipa presha Chelsea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya soka ya England baada ya mchana huu kuivurumisha Watford kwa mabao 4-0 kwenye dimba lake la nyumbani la White Hart Lane.

    Mpaka mapumziko ilikuwa mbele kwa mabao 3-0 yaliyofungwa na Dele Alli,Eric Dier na nyota wa mchezo wa leo Mkorea,Son Heung-Min aliyefunga mabao mawili.

     .

    Ushindi huo umeifika ifikishe pointi 68 pointi nne nyuma ya vinara Chelsea wenye pointi 72 na mchezo mmoja mkononi.Pointi 14 zaidi ya wapinzani wao wa jadi Arsenal wenye pointi 54.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Moto wa Spurs waichoma Watford,sasa yabakiza pointi nne tu kuing'oa Chelsea kileleni,yaiacha Arsenal kwa pointi 14 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top