Dar es Salaam,Tanzania.
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Yanga SC baada ya leo jioni kumsajili bekiVincentAndrew amww "Dante" toka Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka miwili.
Dante amekuwa ni mchezaji wa pili kujiunga na Yanga SC leo hii baada ya golikipa Beno Kakolanya kutoka Tanzania Prisons ya Mbeya ambaye nae amesaini mkataba wa miaka miwili.
0 comments:
Post a Comment