London,England.
Mabingwa watetezi Leicester City wataanza ligi kwa kupambana na Hull
City ugenini Agosti 13. Mechi kubwa siku hiyo ni mpambano kati ya
Arsenal dhidi ya Liverpool kwenye uwanja wa Emirates. Jose Mourinho na
Pep Guardiola hawatahitaji kusubiri sana kukutana, kwani Manchester
United na Manchester City watacheza Old Traford Septemba 10. Na mchezo
wa kwanza wa West Ham kwenye makazi yao mapya ya uwanja wa Olimpiki,
utakuwa dhidi ya Bournemouth Agosti 20.
Mechi za kwanza Agosti 13:
Arsenal v Liverpool
Bournemouth v Manchester United
Burnley v Swansea City
Chelsea v West Ham United
Crystal Palace v West Bromwich Albion
Everton v Tottenham Hotspur
Hull City v Leicester City
Manchester City v Sunderland
Middlesbrough v Stoke City
Southampton v Watford
Ratiba kamili bofya link hii: http://www.bbc.co.uk/sport/football/premier-league/fixtures
Arsenal v Liverpool
Bournemouth v Manchester United
Burnley v Swansea City
Chelsea v West Ham United
Crystal Palace v West Bromwich Albion
Everton v Tottenham Hotspur
Hull City v Leicester City
Manchester City v Sunderland
Middlesbrough v Stoke City
Southampton v Watford
Ratiba kamili bofya link hii: http://www.bbc.co.uk/sport/football/premier-league/fixtures
0 comments:
Post a Comment