Dar es Salaam,Tanzania.
MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara,Simba SC wamefanikiwa kumsajili kiungo Muzamil Yassin kutoka Mtibwa Sugar ya Manungu,Morogoro kwa Mkataba wa miaka miwili.
Muzamil anakuwa mchezaji wa tatu kujiunga na Simba SC tangu pazia la Ligi Kuu lilipofungwa hapo mwezi Mei.Wengine ni beki Emmanuel Semwanza na kiungo Jamal Mnyate wote kutoka Mwadui ya mkoani Shinyanga
0 comments:
Post a Comment