Miami,Marekani.
MCHEZA tenesi wa Uswisi,Roger Federer ameendelea rekodi yake nzuri ya kutwaa mataji kwa mwaka huu katika mchezo huo baada ya jana Jumapili usiku kwa mara nyingine kumchapa mpinzani wake wa siku nyingi Rafael Nadal kwenye mchezo wa fainali na kutwaa ubingwa wa michuano ya wazi ya Miami huko Crandon Park Centre,Miami.
0 comments:
Post a Comment