Klabu ya Yanga imeanza vyema kuusaka ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa ushindi mnono wa goli 4-0 dhidi ya klabu ya Taifa Jang'ombe katika mchezo uliopigwa jana usiku katika dimba la Amaan mjini Zanzibar.
Yanga ilipata magoli yake kupitia winga wake machachari Simon Msuva aliyefunga magoli matatu yaani hat -trick huku mshambuliaji Sherman akifunga moja.
Matokeo Mengine
Azam 2-2 KCCA
KMKM 0-0 MTENDE FC
Ratiba ya Leo
Simba vs Mafunzo
0 comments:
Post a Comment