728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, May 11, 2017

    Sportpesa yatimiza ahadi yake kwa Serengeti Boys

    Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni ya SportPesa Tanzania, Abbas Tarimba akikabidhi hundi ya malipo ya TZS Milioni 50 kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe ikiwa ni katika jitihada za kuunga mkono maandalizi ya timu ya Serengeti Boys kama alivyoahidi siku ya uzinduzi wa kampuni mapema wiki hii.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Sportpesa yatimiza ahadi yake kwa Serengeti Boys Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top