Farid Miraji,Dar Es Salaam.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Mabingwa wa kihistoria wa klabu bingwa Ulaya (Uefa champion league) Christian Ronaldo amefikisha magoli 100 katika michezo ya Ulaya
Ronaldo ambaye jana alifanikiwa kuifungia timu yake ya real Madrid mabao mawili katika Ushindi wa mabao mawili Kwa moja (2-1) dhidi ya Baryen Munchen ugenini yamemfanya aweke rekodi ya mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 100.
katika mabao 100 Christian Ronaldo ameyafunga akiwa anazitumika timu mbili tu za Manchester United mabao 16 na real Madrid 84 , Katika mabao 100 ameyafunga katika michuano mitatu tofauti ikiwa 97 kutoka uefa Champion cup 2 Europa league wakati goli moja kwenye kufuzu Uefa Champion Cup
Kwasasa Christian Ronaldo Cr7 anafikisha magoli 17 kwenye michezo 17 ya ligi ya mabingwa hatua ya robo fainali. Orodha ya wachezaji kwenye magoli mengi ligi za Ulaya
100 – Cristiano Ronaldo (mechi 143)
97 – Lionel Messi (mechi 118)
76 – Raúl González (mechi 158)
70 – Filippo Inzaghi (mechi 114)
67 – Andriy Shevchenko (mechi 142)
62 – Ruud van Nistelrooy (mechi 92)
61 – Gerd Müller (mechi 69)
59 – Thierry Henry (mechi 140)
59 – Henrik Larsson (mechi 108)
56 – Zlatan Ibrahimović (mechi 136)
54 – Eusébio (mechi 70)
53 – Alessandro Del Piero (mechi 129)
51 – Karim Benzema (mechi 93)
50 – Didier Drogba (mechi 102)
50 – Klass-Jan Hunteraah
0 comments:
Post a Comment