Faridi Miraji,Dar Es Salaam.
Klabu ya soka ya Yanga SC inatarajia kuondoka kesho kuelekea Algeria katika mechi ya marudiano dhidi ya Mc Alger. Msafara wa wachezaji 20, benchi la ufundi na viongozi utaondoka kesho jioni majira ya saa 12 kwa ndege ya shirika la Emirate kupitia Dubai.
Wachezaji watakaondoka ni
Makipa(2)
-Deo Munishi Dida
-Beno Kakolanya
Mabeki (8)
-Juma Abdul
-Hassan Kessy
-Haji Mwinyi
-Oscar Joshua
-Nadir Haroub Cannavaro
-Vincent Bossue
-Vicent Andrew Dante
-Kelvin Yondani
Viungo (3)
-Said Juma Makapu
-Thaban Kamusoko
-Haruna Niyonzima
Winga (4)
-Saimon Msuva
-Deusi Kaseke
-Juma Mahadhi
-Geofrey Mwashiuya
Washambuliaji (3)
-Amissi Tambwe
-Emanuel Martine
-Donald Ngoma
Wachezaji wafuatao wataukosa mchezo huo kwa sababu mbalimbali
-Justine Zulu
-Malim Busungu
-Matheo Antony
-Ally Mustapha Bathez
-Pato Ngonyani
-Obrey Chirwa
-Yusuph Mhilu
0 comments:
Post a Comment