728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, April 07, 2017

    MC Alger watua Dar kimya kimya usiku , Wawasubiri Yanga kesho


    Faridi Miraji , Dar es salaam.                       

    Baadhi ya wachezaji wa MC Alger ya Algeria, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam. Timu ya Mc Alger imetua Jana Usk ikiwa Tayali kukabili Yanga .



    Timu hiyo inacheza na Young Africans kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania nafasi muhimu ya kuwania nafasi ya kuingia hatua ya makund ya Kombe ka Shirikisho. Mchezo utafanyika kesho Jumamosi saa 10.00 jioni.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MC Alger watua Dar kimya kimya usiku , Wawasubiri Yanga kesho Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top