728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, April 07, 2017

    Majibu ya Kamati ya masaa 72 kuhusu Fakhi haya hapa


    Farid Miraji,Dar Es Salaam.
    Majibu ya  kikao cha Kamati ya Masaa 72 yatatolewa Alhamisi ijayo baada ya kikao cha Kamati hiyo kukutana jioni ya leo ambacho kimemalizika muda si mrefu kwenye ukumbi wa Ofisi za Shirikisho la Soka nchini (TFF).
    Kamati hiyo imejadili mambo mbalimbali yaliyojitokeza katika mechi za ligi kuu ya Vodacom ikiwemo rufaa iliyowasilishwa na Simba juu ya Kagera Sugar kumtumia beki Mohamed Fakih wakidai ana kadi tatu za njano.
    Habari kutoka ndani ya kikao hicho zinasema kuwa suala hilo la Fakih litatolewa maamuzi Alhamisi ijayo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Majibu ya Kamati ya masaa 72 kuhusu Fakhi haya hapa Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top