London,England.
LIGI KUU ya soka England inatarajiwa kuendelea tena leo Jumanne na kesho Jumatano kwa jumla ya michezo kumi (10) kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini humo.
Ifuatayo ni ratiba kamili ya michezo husika pamoja na muda husika
Leo Jumanne Aprili 04,2017
Burnley v Stoke City (3:45 Usiku)
Leicester City v Sunderland (3:45 Usiku)
Watford v West Bromwich Albion (3:45 Usiku)
Manchester Utd v Everton (4:00 Usiku)
Kesho Jumatano Aprili 05,2017
Arsenal v West Ham (3:45 Usiku)
Hull City v Middlesbrough (3:45 Usiku)
Southampton v Crystal Palace (3:45 Usiku)
Swansea v Tottenham (4:00 Usiku)
Chelsea v Man City (4:00 Usiku)
Liverpool v Bournemouth (4:00 Usiku)
0 comments:
Post a Comment