Na Faridi Miraji.
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anawawinda wachezaji ndugu wawili wa klabu ya Atletico Madrid, Lucas and Theo Hernandez, kwa mujibu wa taarifa kutoka gazeti la The Sun.
Guardiola ameripotiwa kuwa shabiki mkubwa sana wa ndugu hao wawili ambao wanacheza nafasi ya Ulinzi, Theo ni beki wa kushoto huku Lucas ni beki wa kati , na yupo tayari kutoa kitita cha pauni milioni 40 kuwanasa ndugu.
0 comments:
Post a Comment