728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, February 21, 2017

    Droo kamili ya ligi ya mabingwa Afrika hii hapa,Mamelodi wapewa Waganda

                                               

    Cairo,Misri.

    DROO ya ligi ya mabingwa Afrika (CAF Champions League) imekamilika jana Jumatatu baada ya timu 32 kukamilika hii ni kufuatia St.George ya Ethiopia kushinda mchezo wa jana.

    Katika droo hiyo mabingwa watetezi wa michuano hiyo Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini wataanza kulitetea taji hilo kwa kuvaana na KCCA ya Uganda,TP Mazembe ya DR Congo CAPS United ya Zimbabwe.

    Mabingwa wa Tanzania,Yanga SC wataanzia nyumbani wakivaana na Zanaco ya Zambia Mei 10-13 na kurudiwa kati ya Mei 17-19.Washindi watafuzu hatua ya makundi na timu zitakazoshindwa zitaingia makundi shirikisho.

    Droo Kamili 

    USM Alger (ALG) v Kadiogo (Bar 
    Rivers Utd (NGR) v Al Merrikh (SUD)
    Etoile Sahel (TUN) v AS Tanda (CIV)
    Esperance (TUN) v Horoya (GUI)
    Al Ahly Tripoli (LBA) v FUS Rabat (MAR)
    Mamelodi Sundowns (RSA, holders) v KCCA (UGA)
    Wydad Casablanca (MAR) v Mounana (GAB)
    Young Africans (TAN) v ZANACO (ZAM)
    Ferroviario Beira (MOZ) v Stade Malien (MLI)
    Zamalek (EGY) v Enugu Rangers (NGR)
    Ports Authority (GAM) v V Club (COD)
    Coton Sport (CMR) v CNaPS Sport (MAD)
    Al Ahly (EGY) v Wits (RSA)
    TP Mazembe (COD) v CAPS Utd (ZIM)
    AC Leopards (CGO) v St George (ETH)
    Al Hilal (SUD) v Port Louis (MRI)



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Droo kamili ya ligi ya mabingwa Afrika hii hapa,Mamelodi wapewa Waganda Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top