Na Faridi Miraji.
Nahodha wa zamani wa Manchester United Roy Keane anaamini kwamba itakuwa uchizi sana kama Wayne Rooney ataondoka Uingereza na kuhamia China.
"Hakuna sababu kwa Rooney kwenda China"
"Bado anaweza kucheza soka la hali ya juu akiwa Ujerumani, Hispania, Italia na Uingereza hapo hapo."
"Kwenda China ? uchizi huo ."
"Ana miaka 31, bado ana miaka ya kucheza soka la hali ya juu Barani Ulaya."
0 comments:
Post a Comment