Hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA) inaendelea leo kwa mechi nne Makamu bingwa wa kombe hili Azam Fc kuikaribisha Mtibwa Sugar Katika uwanja wa Azam Complex Chamazi Kuanzia sa 10:30 jioni.
Mechi zingine ni
Mighty Elephant VS Ndanda FC
Uwanja :Majimaji -Songea
Muda :saa10:00 jioni
Kagera Sugar VS Stand United
Uwanja :Kaitaba Kagera
Muda :Saa10:30 jioni
Madini FC VS JKT Ruvu
0 comments:
Post a Comment