Bodi ya ligi nchini Tanzania ambayo uko chini ya Shirikisho la soka la Tanzania TFF limetaja viingilio vya mchezo unaosubiliwa kwa hamu na kundi kubwa la mashabiki wa soka nchini kote .
mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Boniface Wambura amevitaja viingilio katika mchezo huo kuwa viti vya bluu na kijani itakuwa shilingi 7,000 viti vya ‘orenji’ itakuwa shilingi 10,000, VIP B na C itakuwa shilingi 20,000 huku VIP A ikiwa ni shilingi 30,000.
0 comments:
Post a Comment