728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, February 25, 2017

    Makocha zaidi ya 60 waomba kuinoa Ghana,wamo pia Wenger,Capello na Phil Neville

    Accra,Ghana.

    MTANDAO wa GHANASoccernet.com umeripoti kuwa zaidi ya makocha 60 wameonyesha nia ya kutaka kuinoa timu ya taifa hilo Black Stars kuchukua nafasi ya Avram Grant aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuvurunda kwenye michuano ya AFCON.

    Kwa mujibu wa ripoti kutoka sportsworldghana.com,makocha kama Renard ,Henri Kasperzack na Claude Leroy tayari wameshatuma maombi yao kwenye chama soka cha Ghana.

    Wengine waliotuma maombi ni kocha wa Arsena,Arsene Wenger,Antoine Kambouare,Fabio Capello na kiungo wa zamani wa Manchester United,Phil Neville.

    Orodha kamili iliyochapishwa na sportsworldghana.com:Georges Leekens, Bernard Simondi, Hugo Broos, Denis Lavagne, Hicham Jadrane Chazouani.

    Wengine ni Claude Leroy, Philippe Troussier, Badou Zaki,Mancini, Yasen Petrov,Gao Hongbo,Tom Saintfiet, Florent Ibenge,Paul Munster, Henri Kasperjack, Herve Renard,Milutin sredojevic, Ernest Mtawali, Laurent Blanc, Christophe Galtier, Philippe Troussier, Bruno Genesio, Remi garde,
    Christian Gourcuff.

    Nabil Maaloul, Benzarti, Sami Trabelsi,Pierre Andre Schuman, Paulo Silva, Claudio Robeirto Riveira, Georges Sorin, David Boulanger, Patrice Carteron, Bernard Casoni, Richard tardy, Jacky Bonnevay.

    Simon Mac Menemy, Franck Dumas, Raoul Savoy, Bernard Challandes, Didier Olle’ Nicolle, Georges Leekens Ilie balaci, Fabrizio ravanelli,Frederic Hantz, Alain Perrin, Paul le Guen, Didier six, Rolland Courbis, Patrice Neveu, Claudio Ranieri, Arsene Wenger.

    Scott Cooper, Phil Neville, Fabio Capello, Esteban Becker Churukian, Corentin Martins, Paul put,
    Ahcene Ait- Abdelmalek, Rainer Willfeld,Wilfred Schaeffer, Uli Stielike, Guus Hiddink, Chan hiu Ming,  Kim Pan-Gon,Sundra Moorthy Varadaraju,Antoine Kambouare, Sabri Lamouchi.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Makocha zaidi ya 60 waomba kuinoa Ghana,wamo pia Wenger,Capello na Phil Neville Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top