Na Faridi Miraji.
Nahodha wa simba Jonas mkude akiwasili Leo bandalini
Klabu ya soka ya simba sc ya jijini dar imewasili Leo rasmi kutoka Zanzibar ikiwa na kikosi kamili
Manager wa simba Mussa Mgosi
Simba imewasili ikitokea Zanzibar ilipoweka kambi ya wiki nzima ikijiandaa na mtanange wa Feb 25 kati ya Simba vs Yanga
Goli kipa wa simba Agrey akiwasili Leo dar
Juma Luizio akiwasili Leo dar
0 comments:
Post a Comment