Na Faridi Miraji.
Real Madrid wameonesha nia ya kutaka kumsajili kiungo wa Juventus Miralem Pjanic majira ya kiangazi, kwa mujibu wa taarifa kutoka Hispania.
Jarida la Fichajes limedai kwamba kiungo huyo wa kimataifa wa Bosnia anatarajia kukutana na maafisa wa Real kabla ya wiki hii kuisha ili kuzungumzia uhamisho wake wa kutua Bernabeu.
Taarifa zinasema pia kwamba Real wapo tayari kumtoa James Rodriguez au Isco kama sehemu ya dili hilo la kubadilishana wachezaji.
0 comments:
Post a Comment