Na Faridi Miraji.
Viwango au uwiano wa wachezaji kwenye mchezo wa Jana wa watani wa jadi Simba sc ilyowakaribisha wapinzani wao wa mitaa ya kkoo Yanga SC.
Mchezo huo uliisha kwa simba kuibuka na ushindi wa bado mbili kwa moja dhidi ya Yanga
Magoli ya wekwa kimiyaani na Saimon Msuva mnamo dk ya 06 ya mchezo na Yale ya Simba Yalifungwa na Mavugo Aliyepokea pasi safi kutoka kwa Shiza Kichuya dk 66 na Kichuya huyo huyo kumalizia goli la mwisho na la ushindi dk ya 82 .
SIMBA SC
-Daniel Agyei (6/10)
-Javier Bukungu (5/10)
-Mohamed Hussein (7/10)
-Novart Lufunga (4/10)
-Abdi Banda (7/10)
-James Kotei. (7.5/10)
-Mohamed Ibrahim (6/10)
-Mzamiru Yassin (7.5/10)
-Laudit Mavugo (8/10)
-Ibrahim Ajibu (8/10)
-Juma Luizio (3/10)
#Walioingia
-Said Ndemla ( 7/10)
-Shiza Kichuya (9/10)
-Jonas Mkude (7.5/10)
YANGA SC
-Deo Munishi Dida (5/10)
-Juma Abdul (6/10)
-Haji Mwinyi (5/10)
-Kelvin Yondani (6/10)
-Vicente Andrew (6/10)
-Justine Zulu. (5/10)
-Saimon Msuva (7/10)
-Thaban Kamusoko (8/10)
-Amis Tambwe (4/10)
-Obrey Chirwa (8.5/10)
-Haruna Niyonzima (6/10)
#Walioingia
-Said Juma makapu (5/10)
-Deusi Kaseke (4/10)
-Juma Mahadhi (3/10)
MCHEZAJI BORA WA MECHI
SHIZA KICHUYA
MAKOCHA
-JOSEPH OMOG -Simba (9/10)
-GEORGE RWADAMINA-Yanga (6/10)
TIMU
SIMBA SC -6.5/10
YANGA SC -5.5/10
ASILIMIA (%)
6.5+5.5=12
SIMBA (6.5/12 *100)=54
YANGA (5.5/12*100)=46
Golosso Sport , Yossima jr.
0 comments:
Post a Comment