728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, February 23, 2017

    Santi Cazora mpaka Msimu ujao




    -Kiungo Mshambuliaji Santi Carzola ataendelea kuwa nje ya uwanja mpaka mwishoni kwa msimu tofauti na ilivyotarajiwa hapo awali kuwa angeweza kurudi mwezi wa tatu hivyooo kurudi kucheza mpaka msimu ujao. Carzola amekuwa nje ya uwanja tangu  mwezi wa kumi mwaka jana akiendelea kuuguza majeraha ya kifundo cha mguu aliyoyapata katika mchezo dhidi ya Ludogorets katika michuano ya klabu bigwa barani ulaya,ambapo alifanyiwa upasuaji mwez wa kumi na mbili uliomuweka nje mpaka sasa.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Santi Cazora mpaka Msimu ujao Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top