728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, February 23, 2017

    Ngoma Rasmi Kuikosa Kariakoo Derby


    Na Faridi Miraji.                                             

    -Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe Donald Ngoma  Rasmi kuikosa SIMBA jumamosi kutokana na majeruhi ya goti aliyojitonesha kwenye mechi ya ligi kuu dhidi ya Stand United.  Ngoma alipata haya majeraha Tangu mwaka Jana hata kwenye mapinduzi Cup alicheza mechi moja ambayo alijitonesha pia akakosa michezo yote. Pamoja na ule wa nusu fainali dhidi ya Simba sasa hivi kumekuwa na upotoshwaji juu ya Hali ya Ngoma wengine wakisema amepona na amegomea kucheza mechi.  Docta anayemtibu Ngoma amesema tatizo la Ngoma si rahisi Kama watu wanavyofikiria na tukiendelea hiv kumlazimisha kucheza hajawa fiti %100 tunaweza kumpoteza Kwa muda mrefu zaidi akaenda mbali zaidi akasema tatizo hilo ni Kama lile lilompataga Frank Domayo akiwa YANGA.  


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Ngoma Rasmi Kuikosa Kariakoo Derby Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top