Na Faridi Miraji.
Antoine Griezmann ataondoka Atletico Madrid na kuhamia Manchester United amesema Emmanuel Petit.
"Dhahiri kabisa atahamia Manchester United" alisema Petit.
"Ana mahusiano mazuri sana na Paul Pogba kwenye timu ya taifa ya Ufaransa, na ni marafiki wazuri pia nje ya uwanja."
"Ataleta magoli, atatengeneza magoli na pia ataleta ile akili na tabia ya ushindi klabuni "
0 comments:
Post a Comment