Na Faridi Miraji.
Manchester City na Chelsea wanatarajiwa kuingia vitani kuwania saini ya beki wa Juventus, Leonardo Bonucci kipindi cha majira ya kiangazi kwa mujibu wa taarifa kutoka Manchester Evening News.
Beki huyo wa kimataifa wa Italia hivi karibuni alikwaruzana na kocha wake Max Allegri , na aliachwa kikosini kwenye mechi ya jumatano ya UEFA dhidi ya FC Porto.
0 comments:
Post a Comment