Dar Es Salaam,Tanzania.
MTOGO Vincent Bossou amerejea kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga SC kitakachoumana na Ngaya De Mbe ya Comoro leo jioni katika Uwanja wa Taifa,Dar Es Salaam baada ya kuukosa mchezo wa kwanza uliopigwa Jumamosi iliyopita huko Moroni.
Kurejea kwa Bossou kumemsukuma nje ya kikosi cha kwanza cha timu hiyo nahodha Nadir Haroub "Cannavaro" ambaye alicheza dakika zote kwenye mchezo wa kwanza.
Kikosi Kamili kiko kama ifuatavyo
1. Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Vicent Bossou
5. Kelvin Yondani
6. Justine Zulu
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Obrey Chirwa
10. Deusi Kaseke
11. Emanuel Martin
Akiba
- Ali Mustafa
- Hassani Kessy
- Oscar Joshua
- Vicent Andrew
- Nadir Haroub
- Saidi Juma
- Juma Mahadhi
0 comments:
Post a Comment