Zdravko Logarusic katikati
Kumasi,Ghana.
ASANTE KOTOKO ya Ghana jana Alhamis ilifanya utambulisho wa usajili wake mpya iliyoufanya hivi karibuni tayari kwa mchakamchaka wa ligi kuu ya nchi hiyo.
Miongoni mwa usajili huo mpya yumo aliyekuwa kocha mkuu wa zamani wa Simba SC,Mcroatia Zdravko Logarusic aliyesaini mkataba wa miaka miwili kuchukua nafasi ya David Duncan.
Mbali ya Logarusic mwingine aliyetambulishwa jana ni Shilla Alhassan ambaye kwa sasa atakuwa meneja mpya wa timu akichukua nafasi ya Adu Poku.
0 comments:
Post a Comment