BINGWA wa zamani wa uzito wa juu duniani Muhammad Ali amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Phoenix-area hospital alikokuwa amelazwa tangu Alhamis baada ya kukumbwa na tatizo la kupumua.
Taarifa za kufariki kwa Alli,74,zimetolewa muda mfupi uliopita na msemaji wa familia yake Bob Gunnell.
Alli ama Cassius Clay (Jina la Kuzaliwa) alizaliwa Januari ,17, 1942 huko Louisville, Kentucky - Marekani.Amefariki akiweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kutwaa ubingwa uzito wa juu mara tatu.
Mohammed Alli alicheza mapambano 61,alishinda 56,30 yakiwa kwa KO
0 comments:
Post a Comment