
Tuesday, May 31, 2016

Breel Embolo Embolo:Tottenham imeripotiwa kuwa itamgeukia mshambuliaji wa FC Basel Mswisi Breel Embolo,19, ikiwa watashindwa jaribio lao...
WAAMUZI STARS V MISRI WATANGAZWA
Tuesday, May 31, 2016
Dar es Salaam,Tanzania. Waamuzi wanne kutoka Gabon, ndio watakochezesha mchezo wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Mapha...
ENGLAND YATANGAZA KIKOSI CHAKE CHA MWISHO CHA EURO,RASHFORD MAMBO SAFI
Tuesday, May 31, 2016
London, England. MARCUS RASHFORD,18, amejumuishwa katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 kitakachoiwakilisha England katika michuano...
UJERUMANI YATANGAZA KIKOSI CHAKE CHA MWISHO CHA EURO 2016,REUS NA WENGINE WATATU WAKATWA,SCHWEINSTEIGER APETA
Tuesday, May 31, 2016
Basel,Uswisi. KOCHA wa timu ya Taifa ya Ujerumani Joachim Low leo mchana ametangaza kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 23 kitakachosa...
UMEISIKIA HII YA WACHEZAJI 11 WA TIMU MOJA KUUGUA KIPINDUPINDU?
Tuesday, May 31, 2016
Morogoro,Tanzania. Klabu ya Muheza United FC ya Tanga imeshindwa kuendelea na michezo ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa baada ya wachezaji w...
KUELEKEA EURO 2016 UKUTA WA UBELGIJI WAZIDI KUBOMOKA,SWAHIBA WA SAMATTA AITWA KUOKOA JAHAZI
Tuesday, May 31, 2016
Kabasele Brussels, Ubelgiji. Jinamizi la majeruhi limeendelea kuikumba kambi ya timu ya taifa ya Ubelgiji inayojiandaa na michuano ya Ul...
NILETEENI DIEGO COSTA AU NIONDOKE ZANGU
Tuesday, May 31, 2016
Madrid,Hispania. Habari kutoka gazeti la Daily Star zinasema kuwa Kocha Mkuu wa Atletico Madrid Muargentina Diego Simeone "El Cholo...
KIPRE TCHETCHE AIRUKA YANGA SC MITA 100%
Tuesday, May 31, 2016
Dar es Salaam,Tanzania. MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Kipre Tchetche inayedaiwa amesaini kuichezea klabu ya Al-Nahda Al-Buraimi ya Oman, ames...
KUELEKEA EURO 2016:UFARANSA YAICHAPA CAMEROON,SWEDENI BILA IBRAHIMOVIC HAKUNA KITU
Tuesday, May 31, 2016
Nantes,Ufaransa. MKWAJU wa faulo wa dakika za majeruhi wa kiungo Dimitri Payet umeipa Ufaransa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Koloni lao...
Monday, May 30, 2016
UEFA YATANGAZA KIKOSI CHAKE BORA CHA MWAKA CHA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Monday, May 30, 2016
Milan,Italia. SHIRIKISHO la vyama vya Soka Ulaya (UEFA) leo limetangaza kikosi cha wachezaji 18 ambao wamefanya vizuri katika michuano ...
HIZI HAPA HABARI KUBWA ZA SOKA TOKA MAJUU JUMATATU YA LEO MEI 30,2016
Monday, May 30, 2016
Ng'olo Kante. Ronaldo:Mshambuliaji wa Real Mreno Madrid Cristiano Ronaldo amesema ni watu wenye wivu tu ndiyo wanaoweza kubeza mafan...
TUZO YA MCHEZAJI BORA MEI LIGI KUU BARA YAENDA JKT RUVU
Monday, May 30, 2016
DAR ES SALAAM,TANZANIA. Mshambuliaji Abdulrahman Musa wa JKT Ruvu ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Mei 201...
MKWASA AISHITUKIA MISRI, WANYAMA NA KAZIMOTO WATOA NENO
Monday, May 30, 2016
NAIROBI,KENYA Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Misri n...
WALICHOKISEMA MARCUS RASHFORD NA BORTHWICK BAADA YA KUSAINI MIKATABA MIPYA MAN UNITED
Monday, May 30, 2016
Manchester, England. BAADA ya tetesi za hapa na pale hatimaye Marcus Rashford amesaini mkataba mpya wa miaka minne wa kuendelea kuitumik...
MTOTO WA MIAKA 7 AOMBA NAFASI YA KUWA KOCHA WA KLABU YA LIGI KUU,UONGOZI WAMJIBU
Monday, May 30, 2016
Ewen Mackenzie akiwa na Kenny Cameron Inverness,Scotland. KILA mmoja wetu ana ndoto na ili itimie anahitaji kupambana kweli kweli.Unawez...
UMEISIKIA HII YA TCHETCHE KUTUA YANGA KWA MILIONI 180
Monday, May 30, 2016
Dar es Salaam,Tanzania. FEDHA inaongea, baada ya kuifanyia Simba umafia kwa kuwasajili Hassan Ramadhan ‘Kessy’ na Juma Mahadhi sasa jeur...
ANTONY MARTIAL NDIYE USAIN BOLT WA MAN UNITED 2015/16
Monday, May 30, 2016
Manchester, England. Antony Martial ndiye Usain Bolt wa Manchester United!!Ndivyo tunavyoweza kusema kwasasa kuhusu kijana huyo toka Ufa...
Sunday, May 29, 2016
KUELEKEA EURO 2016:HISPANIA YASHINDA,UJERUMANI YACHAPWA 3-1 NYUMBANI
Sunday, May 29, 2016
ST. GALLEN, USWISI. HISPANIA imeanza vyema maandalizi yake ya kujiwinda na michuano ya Ulaya [Euro 2016] baada ya usiku wa leo kuifung...
HIZI HAPA HABARI KUBWA ZA USAJILI TOKA BARANI ULAYA JUMAPILI YA LEO MEI 29,2016
Sunday, May 29, 2016
Pierre Emerik Aubameyang Nainggolan:Kiungo wa AS Roma Mbelgiji Radja Nainggolan,28 amegoma kuhamia Chelsea katika kipindi hiki cha usaj...
TAIFA STARS,HARAMBEE STARS ZASHINDWA KUTAMBIANA,ZATOKA SARE YA BAO 1-1
Sunday, May 29, 2016
Nairobi,Kenya. Timu za taifa za soka za Tanzania Taifa Stars na Kenya Harambee Stars jioni ya leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka s...
SAMATTA NA GENK YAKE WAFUZU EUROPA LIGI
Sunday, May 29, 2016
Genk,Ubelgiji. NDOTO ya Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta kucheza michuano ya Europa Ligi msimu ujao imetimia baada y...
RASHFORD ALAMBA KANDARASI MPYA MAN UNITED,MSHAHARA JUU,BONASI JUU
Sunday, May 29, 2016
MANCHESTER, ENGLAND. Manchester United imempa mkataba/kandarasi mpya ya muda mrefu mshambuliaji wake kinda Marcus Rashford,18. Kandarasi...
Subscribe to:
Posts (Atom)