Baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu hatimaye klabu ya Liverpool mwishoni mwa mwezi huu itamsainisha mkataba mpya winga wake Raheem Sterling (19).
Liverpool inataraji kumpa mkataba wa miaka mitano winga huyo mwenye kasi huku akiweka kibindoni paundi 100,000 kwa wiki na kuondoa uvumi wa nyota huyo kutimkia vilabu vya Manchester City,Real Madrid na Bayern Munich vilivyokuwa vikimtolea macho.
0 comments:
Post a Comment