Klabu ya Everton imefungua milango kwa klabu yoyote inayomtaka kiungo wake kinda Ross Barkley (21) januari hii kuandaa kitita cha £45m.
Everton imefikia hatua ya kumuweka sokoni kiungo huyo ili kupata pesa kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake ambacho kiko nafasi ya 13 na pointi zake 21.
Vilabu vinavyomtaka Barkely ni Manchester United na Manchester City.
0 comments:
Post a Comment