Dar Es Salaam,Tanzania.
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Zimbabwe,Simbarashe Nhivi Sithole maarufu Simba Nhivi (Pichani) akitabasamu baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili ya kuichezea Singida United ambayo imerejea ligi kuu bara baada ya kushuka daraja miaka 16 iliyopita.
Nhivi mwenye umri wa miaka 26 anajiunga na Singida United akitokea CAPS United ya nyumbani kwao Zimbabwe na kuwa mchezaji wa tano wa kimataifa kuijiunga na timu hiyo inayomilikiwa na Mfanyabiashara Maarufu nchini,Yusuph Mwandami.
0 comments:
Post a Comment