Dar es Salaam,Tanzania.
KAMATI ya Uchaguzi ya klabu ya Yanga imetangaza majina ya wagombea 21
waliochukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali huku wawili wakikatwa kutokana na kushindwa kukidhi vigezo.
Mjumbe wa kamati hiyo Bakili Makele kwa niaba ya Mwenyekiti Sam Mapande amewataja waliokatwa kuwa ni Yusuph Shaban Mhandeni na Injinia Leornad Marango.
Majina yaliyopitishwa ni
1. Samwel Charles Lukumay. -Mjumbe
2. Salum Bakari Mkemi -Mjumbe
3.Beda Tindwa - Mjumbe
4.Lameck Nyambaya. -Mjumbe
5.David Ruhago - Mjumbe
6.Ayoub Nyenzi - Mjumbe
7.George Manyama - Mjumbe
8.Yusuf Manji - Mwenyekiti
9. Clement Sanga -Makamu
Mwenyekiti
10.Silvester Haule - Mjumbe
11.Siza Lyimo - Mjumbe
12.Hussein David - Mjumbe
13.Hashim Mdhihiri - Mjumbe
14.Athumani Kihamia - Mjumbe
15.Pascal Laizer - Mjumbe
16.Godfrey Ayoub - Mjumbe
17.Bakari Malima - Mjumbe
18. Mchafu Ahmed - Mjumbe
19.Thobias Bosco
20. Lingalangala - Mjumbe.
Kamati hiyo itakutana tena kesho saa tatu asubuhi kufanya usaili wa wagombea wote na baadae itaanza kupitia pingamizi.
0 comments:
Post a Comment