728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, June 01, 2016

    HIVI HAPA VILABU VILIVYOTOA WACHEZAJI WENGI ZAIDI KATIKA MICHUANO YA EURO 2016

    Na.Paul Manjale


    PARIS,UFARANSA.

    MICHUANO ya Euro 2016 inatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake nchini Ufaransa kuanzia Juni 10 na kufikia tamati Julai 10.

    Katika michuano ya mwaka huu kwa mara ya kwanza itashuhudiwa timu za mataifa 24 zikuchuana kuwania ubingwa huo unaoshiliwa na Hispania kwasasa.Awali michuano hiyo ilikuwa ikishirikisha mataifa 16 pekee.

    Jumla ya wachezaji 552 wanatarajiwa kuonyesha vipaji vyao katika viwanja kumi.Vifuatavyo ni vilabu ambavyo vimetoa wachezaji wengi zaidi katika michuano ya mwaka huu.

    LIVERPOOL | 12 players

    Christian Benteke (Belgium), Divock Origi (Belgium), Simon Mignolet (Belgium),Emre Can (Germany), Martin Skrtel (Slovakia), Joe Allen (Wales), Danny Ward (Wales), Daniel Sturridge (England),Jordan Henderson (England), Nathaniel Clyne (England), Adam Lallana (England),James Milner (England)

    JUVENTUS | 12 players

    Leonardo Bonucci (Italy), Andrea Barzagli (Italy), Stefano Sturaro (Italy), Simone Zaza (Italy), Giorgio Chiellini (Italy),Gianluigi Buffon (Italy), Mario Mandzukic (Croatia), Alvaro Morata (Spain), Sami Khedira (Germany), Stephan Lichtsteiner (Switzerland), Paul Pogba (France),Patrice Evra (France)

    TOTTENHAM | 11 players

    Toby Alderweireld (Belgium), Jan Vertonghen (Belgium), Mousa Dembele (Belgium), Kevin Wimmer (Austria), Ben Davies (Wales), Dele Alli (England), Eric Dier (England), Harry Kane (England),Danny Rose (England), Kyle Walker (England), Hugo Lloris (France)


    MANCHESTER UNITED | 10 players

    Chris Smalling (England), Wayne Rooney (England), Marcus Rashford (England),Bastian Schweinsteiger (Germany), Paddy McNair (Northern Ireland), David De Gea (Spain), Marouane Fellaini (Belgium),Matteo Darmian (Italy), Anthony Martial (France), Morgan Schneiderlin (France)


    BARCELONA | 9 players

    Marc-Andre ter Stegen (Germany), Thomas Vermaelen (Belgium), Ivan Rakitic (Croatia), Arda Turan (Turkey), Sergio Busquets (Spain), Andres Iniesta (Spain),Marc Bartra (Spain), Jordi Alba (Spain),Gerard Pique (Spain)


    BAYERN MUNICH | 9 players

    David Alaba (Austria), Thiago Alcantara (Spain), Robert Lewandowski (Poland),Joshua Kimmich (Germany), Mario Gotze (Germany), Jerome Boateng (Germany),Thomas Muller (Germany), Manuel Neuer (Germany), Kingsley Coman (France)

    FENERBAHCE | 9 players

    Nani (Portugal), Bruno Alves (Portugal),Volkan Sen (Turkey), Ozan Tufan (Turkey),Sener Ozbayrakli (Turkey), Caner Erkin
    (Turkey), Gokhan Gonul (Turkey), Mehmet Topal (Turkey), Michal Kadlec (Czech Republic)

    SHAKHTAR DONETSK | 9 players

    Andriy Pyatov (Ukraine), Vyacheslav Shevchuk (Ukraine), Oleksandr Kucher
    (Ukraine), Yaroslav Rakitskiy (Ukraine),
    Bohdan Butko (Ukraine), Taras Stepanenko (Ukraine), Viktor Kovalenko (Ukraine),Yevhen Seleznyov (Ukraine), Darijo Srna (Croatia)


    ARSENAL | 8 players

    Tomas Rosicky (Czech Republic), Petr Cech (Czech Republic), Hector Bellerin (Spain), Mesut Ozil (Germany), Aaron Ramsey (Wales), Jack Wilshere (England),Laurent Koscielny (France), Olivier Giroud (France)

    BASEL | 8 players

    Birkir Bjarnason (Iceland), Marek Suchy (Czech Republic), Tomas Vaclik (Czech Republic), Breel Embolo (Switzerland),Michael Lang (Switzerland), Taulant Xhaka (Albania), Naser Aliji (Albania), Marc Janko (Austria)

    CSKA MOSCOW | 8 players

    Pontus Wernbloom (Sweden), Aleksandr Golovin (Russia), Roman Shirokov (Russia), Georgi Shchennikov (Russia),
    Aleksei Berezutski (Russia), Vasili Berezutski (Russia), Sergei Ignashevich (Russia), Igor Akinfeev (Russia)

    REAL MADRID | 8 players

    Gareth Bale (Wales), Cristiano Ronaldo
    (Portugal), Pepe (Portugal), Mateo Kovacic (Croatia), Luka Modric (Croatia), Lucas Vazquez (Spain), Sergio Ramos (Spain),Toni Kroos (Germany)

    ROMA | 8 players

    Antonio Rudiger (Germany), Norbert Gyomber (Slovakia), Lucas Digne (France),Stephan El Shaarawy (Italy), Daniele De Rossi (Italy), Alessandro Florenzi (Italy),Radja Nainggolan (Belgium), Wojciech Szczesny (Poland)


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HIVI HAPA VILABU VILIVYOTOA WACHEZAJI WENGI ZAIDI KATIKA MICHUANO YA EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top