728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, September 10, 2015

    KUNANI ARSENAL:JACK WILSHERE PANCHA TENA

    London,England.

    Matarajio ya kocha Arsene Wenger kumuona kiungo wake Jack Wishere akirejea tena dimbani yameingia doa baada ya afya ya nyota huyo wa England kuendelea kuwa mgogoro.

    Wenger alitegemea kumtumia Wilshere katika mchezo wa jumamosi hii wa ligi kuu dhidi ya Stoke City lakini taarifa zilizoifikia soka extra ni kwamba kiungo huyo ameshindwa kupona kama ilivyotarajiwa na tarehe ya kurejea dimbani bado ni ndoto.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KUNANI ARSENAL:JACK WILSHERE PANCHA TENA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top