Barcelona,Hispania
Baada ya Barcelona kushindwa rufaa yake huko FIFA na kujikuta ikifungiwa kutofanya usajili kwa misimu miwili na huku jana ikiuanza mwaka 2015 kwa kipigo bundi ameendelea kuiandama miamba hiyo ya Catalunya.
Habari za kuaminika toka ndani ya klabu hiyo zinadani raisi wa klabu hiyo Josep Maria Bartomeu leo hii amemfuta kazi aliyekuwa mkurugenzi wa ufundi wa klabuni hiyo Andoni Zubizarreta.
Baada ya tukio hilo inasemekana kuwa mlinzi wa zamani wa klabu hiyo Carles Puyor nae amejiudhuru nafasi yake ya ukurugenzi msaidizi wa ufundi aliyoipata hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment