Kocha Louis Van Gaal kwa wiki nzima amekuwa akiwaambia wachezaji wake wawaze jinsi ya kuifunga Stoke City tangu wakiwa vitandani.
Manchester United leo inashuka katika dimba la Britannia kuivaa timu kiburi ya Stoke City katika mchezo wa mapema wa ligi kuu ya Epl.
Van Gaal akiuzungumzia mchezo huo amesema
“Wachezaji wote wanapaswa kulifanya hilo — kuuota mchezo,unatakiwa kuanza kuucheza mchezo uliyoko mbele yako tangu ukiwa kitandani.”
0 comments:
Post a Comment