728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, February 09, 2017

    Tanzania yaporomoka nafasi mbili viwango vya ubora wa soka duniani,Misri namba moja Afrika.


    Dar Es Salaam,Tanzania.

    TANZANIA imeporomoka kwa nafasi mbili katika orodha ya viwango vya ubora wa soka duniani iliyotolewa leo na shirikisho la soka duniani FIFA.

    Tanzania ambayo mwezi uliopita ilikuwa nafasi ya 156 sasa imeporomoka mpaka nafasi ya 158 kidunia.Uganda ambao waliokuwa wawakilishi pekee wa Afrika Mashariki kwenye michuano ya AFCON nao wameshuka kwa nafasi mbili mpaka nafasi ya 75.

    Misri wamepanda kwa nafasi 12 na sasa wanashikilia nafasi ya 23 kidunia.Nafasi ya kwanza Afrika.Mabingwa wa Afrika Cameroon wamepanda kwa nafasi 29 na sasa wanashikilia nafasi ya 33 kidunia.Nafasi ya tatu Afrika.

    Orodha ya viwango vya ubora kwa ufupi.

    Duniani

    1. Argentina (1)
    2. Brazil (2)
    3. Germany (3)
    4. Chile (4)
    5. Belgium (5)
    6. France (7)
    7. Colombia (6)
    8. Portugal (8)
    9. Uruguay (9)
    10. Spain (10)

    Afrika

    23. Egypt (35)
    31. Senegal (33)
    33. Cameroon (62)
    36. Tunisia (36)
    37. DR Congo (49)
    38. Burkina Faso (53)
    41. Nigeria (50)
    45. Ghana (54)
    47. Ivory Coast (34)
    48. Morocco (57)

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Tanzania yaporomoka nafasi mbili viwango vya ubora wa soka duniani,Misri namba moja Afrika. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top